Jina la Kajala Kuonekana Kwenye Soda za Kopo za Coca-Cola



Mwigizaji wa filamu mwenye sura ya upole na umbo la Kiafrika, Kajala Masanja ni moja kati ya watu ambao majina yao yataonekana kwenye makopo mapya ya kinywaji cha Coca-cola.
 
Jana  mchana, wawakilishi wa coca-cola walimtembelea Kajala nyumbani kwake na kumpatia  zawaidi ya kinywaji hicho kikiwa kwenye chupa yenye jina lake.
 
Endelea kuwa nasi kujua kinanani wengine wamebahatika kwenye hili.

  TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.

Comments

Popular posts from this blog