MISS WORLD TANZANIA WAZIDI KUANDIKA HISTORIA

Happyz iiiWatanzania wameamua kwamba tukiamua tunaweza, good news kutoka London Uingereza, ambako yanafanyika mashindano ya Miss World mwaka 2014.Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano hayo ameshare na sisi taarifa nyingine nzuri kupitia ukurasa wake wa Instagram.Happiness kaandika hivi; Hey guys. Siwezi amini kuwa tumefika namba 2. Tuongeze bidii maana nchi nyingine pia wako bize na kura. Lets do this Tanzania!!!! Naamini pamoja tutafika. #votevotevote #PigaKuraSasa#DownloadTheApp#HuuNiMwakaWetu“– @happinesswatimanywa


Happyz

Happyz IIHappyz IIii

Zoezi la upigaji wa Kura litasitishwa leo December 14, jioni ambapo Fainali hizo zitakuwa zinafanyika London, Uingereza.
Unaweza kuendelea kumpigia kura mshiriki huyo ili arudi na Taji la Miss World 2014.
Team Watimanywa

Comments

Popular posts from this blog