JOKATE KIDOTI NA MILLARD AYO WANASWA LIVE KATIKA POZI TATA!


Jokate Kidoti na Millard Ayo wa Clouds FM!Hakika hata siku moja huwezi kuuficha moto, kwani moshi lazima utakuumbua tu. Baada ya kuumizwa na aliyekuwa mpenzi wake Millard Ayo kwa madai ya kumfumania live Mwanza, Millard aliamua kukaa single kwa muda mrefu na kutokuwa na wazo la kupenda tena!

Ila hii picha akiwa na Jokate Kidoti "Jojo" imekua gumzo mtandaoni kuwa eti ni wanapika na kupakua! Stay tuned kama ipo ipo tu mdau!

Comments

Popular posts from this blog