BREAKING NEWZ: MMILIKI WA NYUMBNI PARK AVAMIWA KUJERUHIWA NA KUPORWA FEDHA



Sehemu alizoathilika
Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi.Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.
Kwa taarifa zilizofikia mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hiloMkurugenzi huyu alivamiw ausiku wa saa saba BOFYA KUONA PICHA ZAIDI>>

Comments

Popular posts from this blog