BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA SINGIDA MCHANA HUU KATI YA BASI LA ZUBERI NA COSTA...AMBAPO KATIKA COSTA HAKUNA ALIYEPONA

Bus la Zuberi No. 3 Limegongana uso kwa uso na costa. Hakuna aliyetoka kwenye costa na imekwisha  nyang'anyang'a. Hali hii imepelekea waliokua kwenye magari mengine kushuka na  kuokoa majeruhi. Ni Mbele kidogo ya singida mjini. 
 Yaani costa imeisha na imeanguka miguu juu. Bado kuna abiria wapo chini ya hiyo costa. Ni ajari mbaya sana aisee.

Comments

Popular posts from this blog