ANGALIA PICHA UKATILI DHIDI YA MTOTO AUAWA KWA KUFUNGWA PLASTA MDOMONI

Mtoto aliyekutwa amefariki baada ya kutupwa eneo la Kawe-Beach na kufungwa plasta mdomoni na puani.
KATIKA hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi, anasadikika kutenda ukatili na unyama wa hali juu kwa kumuua mwanaye na kisha kumtupa pembezoni mwa barabara ya kwenda Kawe-Beach.Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.

 
Wakazi wa eneo la Kawe na wapita njia wakiangalia kichanga hicho baada ya kuokotwa na wavuvi.

Comments

Popular posts from this blog