YALIYOJIRI KWENYE MSIBA WA DIRECTOR WA FILAMU ADAM KUAMBIANA!
Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii.
Waombolezaji
wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele
ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.
Watangazaji Sauda Mwilima (kulia) na Zamaradi Mketema (kati) wakiwa msibani hapo. Kushoto ni msanii Shamsa Ford.
William Mtitu (katikati) akiwa na waombolezaji.
Ibada ya kumuombea marehemu ikiendelea.
Mwili wa marehemu Adam Kuambiana ukitolewa kwa ajili ya kuagwa.
Baadhi ya wasanii baada ya kuwasili Bunju B.



Comments
Post a Comment