WAUGUZI WASHEREKEA SIKUKUU YAO NA MR.KIKWETE.

Wauguzi wakiwa wamekaa uku wakimsikiliza raisi Kikwete katika sherehe za wauguzi duniani.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini jinsi wauguzi  wanavyotoa huduma ya afya kwa wagonjwa wakati alipotembelea mojawapo ya mabanda ya maonyesho ya Wauguzi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo.
 Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo.

 Wauguzi wakiandamana wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi Duniani wakiwa na mabango mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha leo. Picha na Fredy Maro

Comments

Popular posts from this blog