RECHO HAULE APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE, KINONDONI DAR

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akiweka shada la maua katika kaburi la Recho.

Ndugu wa marehemu wakiweka mashada.
Wasanii wa Bongo Muvi kutoka kushoto Aunt Lulu akiwa na wenzake.
Watumishi wa Mungu (katikati) wakifanya maombi baada ya maziko.
Mchumba wa marehemu George Saguda (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la Rachel na mwanae.
Msanii Blandina Chagula 'Johari' akiweka udongo kaburini.
Mjomba wa marehemu, Evance Haule (kushoto) akiweka udongo katika kaburi la marehemu.
Ndugu wa marehemu wakiweka mchanga katika kaburi la marehemu Rachel Haule.
Mafundi wakichanganya zege.
Mafundi wakisawazisha zege.
(PICHA NA RICHARD BUKOS, DENIS MTIMA, MAYASA MARIWATA, SHANI RAMADHANI, HAMIDA HASSAN, IMELDA TARIMO/GPL)

Comments

Popular posts from this blog