RAIS KIKWETE AONGOZA KUAGA MWILI WA MWAKAPUGI DAR

D92A3800D92A3809Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho na kufariji familia ya  aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64 alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo wilaya ya Tukuyu(picha na Freddy Maro).

Comments

Popular posts from this blog