PICHA 8 ZA MSIBA WA AMINA NGALUMA USIKU HUU NYUMBANI KWAKE

18dimondMuziki wa dansi Tanzania Mei 15 ulipata msiba ambao umekua ni pigo kwao na Tanzania kwa ujumla,ni msiba wa Amina Ngaluma ‘Japanese’ ambae amefanya kazi kwenye bendi tofauti tofauti hapa Tanzania ikiwemo African Revolution ‘Tam Tam’ pamoja na Double M Sound.

Taratibu za mazishi kwa mujibu wa mume wa Marehemu Amina Ngaluma Mr Rashid Sumuni amesema wanasubiri mwili wa marehemu ufike na unategemewa kuingia wiki ijayo kutoka Thailand alipokua akifanyia kazi.

Taratibu za mazishi Sumuni amesema kuwa mwili utazikwa maeneo ya huko huko Kitunda Machimbo,millardayo.com imefika hadi nyumbani kwa marehemu ulipo msiba huu ,hizi ni baadhi ya picha za nyumbani kwa marehemu.
17dimond
22dimondNyumbani kwa Amina Ngaluma sehemu ulipo pia msiba huu.

16dimondBaadhi ya waombolezaji
15dimond
14dimond

08dimond 
Baba mzazi wa Marehemu Amina Ngaluma ‘Japanese’

06dimond 
Mume wa Amina Ngaluma Mr.Rashid Sumuni.

Comments

Popular posts from this blog