HIZI NDIO PICHA NA LIST YA WASANII WA BONGO MOVIE WALIOFARIKI WAKIWA BADO NA UMRI MDOGO SANA!!

RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS
KUAMBIANA: Hapa ndipo yalipo makazi ya milele ya Adam Kuambiana aliyefariki wiki iliyopita, leo akitimiza siku ya 13 kwenye makazi yake mapya 
KUAMBIANA: KUZALIWA:  1976 - KUFARIKI: 2014  UMRI: 38Yrs
JOHN MAGANGA: Haya ni makazi ya John Maganga akiwa leo naye anatimiza mwaka mmoja na miezi 6
JOHN: KUZALIWA: 1988 KUFARIKI: 2012 UMRI: 24Yrs
MALISA: Haya ni makazi ya milele ya msanii mwingine Malisa ambaye ameshatimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu atutoke
ZUHURA: KUZALIWA: 1974 KUFARIKI: 2013 UMRI: 39Yrs
KANUMBA: Haya ni makazi ya milele ya Kanumba ambaye sasa ana mika 2 na miezi 2
KUZALIWA: 1984 KUFARIKI: 2012 UMRI: 28yrs
Hakika vijana wengi hivi sasa wanaondoka duniani mapema mno, wakiwa na umri chini ya miaka 30 na 40. Mfano hai ni wasanii maarufu wa Bongo Movie waliokwisha tutoka ndani ya kipindi cha miaka miwili wakati leo tunamzika Recho, kama yanavyojionesha makaburi yao, ambao wate wamelazwa sehemu moja ya Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.
HAKIKA MBELE YAO, NYUMA YETU. MUNGU AZILAZE ROHO ZAO PEPONI - AMEEN!

Comments

Popular posts from this blog