HII NDO JEURI YA PESA YA H-BABA ...CHEKI GARI JIPYA LA KIFAHARI


19wauwevd 
Maisha ya mastar wetu wa Kitanzania yanazidi kukua zaidi na kuwapelekea kumiliki baadhi ya vitu vya gharama,baada ya baadhi ya wasanii kuonyesha magari yao,hili ndilo gari sasa analotembelea mume wa Frola Mvungi hit maker wa Mpenzi Bubu,Poteza na hit zingine H.baba.
Mbali na muziki H.baba amesema kuwa vyanzo vingine vya mapato ni pamoja na bidhaa zake za pipi alizozizindua miezi michache iliyopita zinazopatikana Mwanza pekee pamoja na uigizaji wa filamu mbalimbali za Kitanzania.



Hii gari aina yake ni Mr s ambalo buti yake iko kwa mbele sehemu ambayo ipo engine yake,hapo chini nimekuwekea bei kama uki google ingawa kwa pesa za Kitanzania ni zaidi ya Milioni 70 kwa bado kuisafirisha na ushuru.


22wauwevd


21wauwevd


15wauwevd


16wauwevd

4wauwevd


7wauwevd


6wauwevd


5wauwevd


8wauwevd

mrs

Comments

Popular posts from this blog