ANGALIA PICHA ZA RAY C AKIWA MTAANI LEO, KUHAMASISHA MATEJA KUACHA UNGA

 

Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya Methadone Mwananyamala....nimefurahisana kuskia kutoka Kwao kwamba na wao wamechoka na Maisha ya utumwa......Tuko pamoja nao kuhakikisha tunawasaidia.......



Ray C Foundation Pamoja inawezekana... 

Comments

Popular posts from this blog