MWIGULU NCHEMBA ALIVYOITIKISA CHALINZE HII LEO,RIDHIWANI ASILIMIA 99 ATASHINDA UBUNGE

Naibu Katibu Mkuu CCM_Bara Mh:Mwigulu Nchemba akimnadi Mgombe wa Ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete hii leo wakati wa Mkutano wa Hadhara wa Kampeni za Lala Salama Kata ya Pera.Uchaguzi Unategemewa Kufanyikwa Tar.06/04/2014 kumpata Mbunge wa Jimbo hilo,CUF na CHADEMA pia Wamesimamisha Wagombea kwenye Kinyang'anyiro hicho cha Ubunge.Ushindi ni Umoja,Mh:Mwigulu Nchemba ambaye amekuwa akiongoza Kampeni mbalimbali,Hapa akiwa na Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa na Mbunge Mtarajiwa wa Chalinze Ridhiwani Kikwete.Wameshikana Mikono kuamaanisha "UMOJA NI USHINDI""Tumewamaliza"
 

Comments

Popular posts from this blog