MREMBO ATAPIKA VYUPA, MISUMARI NA PINI AKIWA KANISANI

v 

Msichana mwenye umri wa miaka 19 anayetapika pesa na vyuma.
MSICHANA mwenye umri wa miaka 19, ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, anatapika pesa, vyupa, misumari, mayai na pini akiwa kanisani nchini Ghana.
v2Pesa zilizotapikwa na msichana huyo.
v3 
Msichana (katikati)akijiandaa kutapika.
v4 
Vipande vya misumari vilivyotapikwa na msichana huyo.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, msichana huyo alitoweka nyumbani kwao kwa muda wa wiki moja mapema Januari, mwaka huu na aliporejea ndipo alipoanza kufanya vitendo hivyo vinavyohisiwa kuwa vinatokana na imani za kishirikina.

Comments

Popular posts from this blog