KWELI KUIGIZA HOLYWOOD HAKUNA MASIHARA!! MDADA LUPITA NYONG'O AKIWA MATITI WAZI KATIKA SCENE YA MOVIE ILIYOMPA TUZO YA OSCAR...!




Uigizaji kaazi kweli kweli...Unaambiwa ukienda kuigiza movie Hollywood hakuna masikhara hata kidogo, unapoambiwa huu ni muda wa scene ya mapenzi na lazima uwe mtupu ni lazima ufanye hivyo no way out...Hivyo ndivyo ilivyomkuta star wa dunia anayetoka hapa East Africa katika nchi ya Kenya mdada Lupita Nyong'o ambaye ni mshindi wa tuzo ya Oscar ambazo ndio kubwa zaidi ulimwenguni...

Lupita katika scene mojawapo ndani ya movie iliyompa tuzo hiyo iitwayo 12 years a slave ilimpasa acheze akiwa hajavaa kitu juu (matiti wazi) kma inavyoonekana pichani chini...Kwa waliongalia movie hiyo watakuwa wameliona hili... 
Na wewe ambaye hujaangalia bado tafadhali kuwa makini kama waangalia na watoto wadogo....
PICHA HIYO HAPA CHINI.. 
  


Comments

Popular posts from this blog