BREAKING NEWSS:::WATU WAWILI WAUAWA KANISANI KENYA

 
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Joy Jesus wakiwa nje ya kanisa baada ya shambulio hilo.
WATU wawili wameuawa wakati wengine kumi wakijeruhiwa baada ya mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa la Joy Jesus huko Lokoni, karibu na Mombasa nchini Kenya.
Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni iliyopo kusini mwa Mombasa wamesema kuwa jambazi huyo alilivamia kanisa hilo na kuanza kuwafyatulia risasi waumini hao kiholela.

Bado haijafahamika kama muuaji huyo ana uhusiano na vikundi vya kigaidi

Comments

Popular posts from this blog