Angalia Picha Sitta achukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge la Katiba

Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala.

 Mhe. Sitta akionesha fomu aliyochukua leo. Kushoto ni Mhe. Dk Kigwangala na kulia ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw. Paul Makonda. (picha zote: Hassan Silayo/MAELEZO

Comments

Popular posts from this blog