ANGALIA PICHA CHADEMA WAKIWA KALENGA JANA

Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo.


Mgombea wa CHADEMA, Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema walipokuwa wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upiogaji kura vituoni ilivyokuwa ikiendelea
Mwenyekiti Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili lililotokea juzi usiku katika Kijiji cha Kitawaya, Kaa ya Luhota, jimboni Kalenga, wakati alipokuwa akizungumza na mawakala wa CHADEMA, ambapo imedaiwa kitendo hicho kilifanywa na vijana wa ulinzi wa CCM.


 helkopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokuwa imembeba mgombea wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda na kampeni meneja wake, Godbless Lema, walipokuwa wakizunguka jimboni humo kukagua vituo vya kura na kuangalia shughuli nzima ya upigaji kura ilivyokuwa ikiendelea kwa siku ya jana. Usafiri huo pia ulitumika kusamabaza chakula cha mawakala wachama hicho vituoni.

Comments

Popular posts from this blog