KATIBU MTENDAJI WA BODI YA FILAMU NCHINI AKUTANA NA WADAU WA TASNIA YA FILAMU

1Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu Nchini.Kualia ni Evance Stephen Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Production Ltd na Kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana.2Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo akizungumza na wadau wa Filamu Tanzania waliofika ofisini kwake kuzungumza masuala yanayohusiana na tasnia ya Filamu Nchini.3Meneja Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Gideon Sangana akimueleza jambo Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo, wakati walipotembelea ofisi za bodi hiyo kuzungumza juu ya mambo yanayohusiana na Maendeleo ya Filamu.4Afisa Masoko wa Kampuni ya Game First Quality Tanzania Ltd, Moses Lupindo akiwasilisha hoja zake kwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Nchini, Joyce Fisoo, wakati walipotembelea ofisi za bodi hiyo.Kushoto ni Evance Stephen Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Production Ltd, Meneja wa Mambo ya Sheria na Ushirikiano wa Kampuni ya Proin Production Ltd, Gift Msuya na Mkaguzi wa Filami sehemu ya Usambazaji Wil-had Tairo.5Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Production Ltd, Evance Stephen akieleza jambo kwenye kikao cha kujadili Maendeleo ya tasnia ya Filamu nchini, kilichofanyika kwenye ofisi za Bodi ya Filamu Nchini6Meneja wa Mambo ya Sheria na Ushirikiano wa Kampuni ya Proin Production Ltd, Gift Msuya akitoa mchango wake kwenye kikao cha kujadili Maendeleo ya Tasnia ya Filamu nchini, kilichofanyika kwenye ofisi za Bodi ya Filamu Nchini.
Picha zote na Hussein Makame, MAELEZO

Comments

Popular posts from this blog