HONGERA KAKA YETU EMANUEL KAYETA KWA KUVUTA JIKO

 Alichokiunganisha MUNGU na mwanadamu asikitenganishe
 nakuvalisha pete hii ikawe ishara ya pendo langu

 bi harusi akisaini katika kitabu cha cheti cha ndoa kama uthibitisho wa kweli


 vijana wa show wa kifanya mambo yao ukumbini



 kamati nzima ya maandalizi ikiwa katika picha ya pamoja kama jinsi wanavyoonekana

 kwa kweli salamu za pekee ziwaendee waandaaji wa chakula kilichokuwa kitamu na chakuvutia zaidi kilichopambwa na sahani za matunda

 mdau wa karibu sana na familia ya bwana harusi bwana Elisa  akifanya mambo yake ndani ya ukumbi


 mtoto Mariam akiwashangaza umma kwa juhudi na mbwembwe zake za kufungua champain

 wachezaji maarufu wa ngoma ya "wazava" wakiwa wanatumbuiza ndani ya ukumbi



Comments

Popular posts from this blog