DK.SHEIN AWASILI NCHINI INDIA LEO

TA1A1404Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea mashada ya mauwa   wakati wa mapokezi nyake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe Mama Mwanamwema Shein katika ziara rasmi.[Picha na Ramadhan Othman, India.]TA1A1406Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Kiongozi wa Ulinzi  wakati wa mapokezi  yake alipowasili  katika uwanja wa ndege  wa Jaipur  Nchini India katika Jimbo la Rajastan,akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo mkewe  Mama Mwanamwema  Shei.[Picha na Ramadhan Othman, India.]TA1A1408Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein  wakisalimiana na Viongozi   wakati wa mapokezi  alipowasili katika uwanja wa ndege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,pamoja na   ujumbe  waliofuatana katika ziara rasmi nchini India[Picha na Ramadhan Othman, India.]TA1A1412Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Uhusiano wa Mambo ya Nje Mam Raj Behamni,  mara baada ya mapokezi na Mkewe Mama Mwanamwema Shein  wakilipowasili katika Uwanja wa dege wa Jaipur Nchini India katika Jimbo la Rajastan,pamoja na   ujumbe   katika ziara rasmi nchini India[Picha na Ramadhan Othman, India.]

Comments

Popular posts from this blog