ANGALIA PICHA ZA MADIWANI WALIONG'ATUKA CHADEMA MJINI SHINYANGA

Kushoto ni aliyekuwa diwani wa kata ya Masekelo bwana Zacharia Mfuko na kulia ni bwana Sebastian Peter Mzuka aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo katika manispaa ya Shinyanga ambao leo wamefanya maamuzi magumu kuachia ngazi na kubaki wanachama wa kawaida wa CHADEMA kwa kile walichodai kuchoshwa na siasa za chadema zilizojaa majungu na migogoro

Comments

Popular posts from this blog