MWANAMKE AZIMA BAADA YA KUIFAKAMIA MIPOMBE .... AANIKA VYOMBO VYOTE NJE NJE ... MASELA WAJIPAKULIA LIVE

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI
MWANAMKE huyu mkaazi wa kahama wiki iliyopita alitoa kali ya mwaka alipofakamia pombe kali almaarufu kwa jina la kiroba,

Chanzo cha habari kiliieleza Website hii  kwamba dada huyu alifakamia Viroba vya kutosha hatimaye kujikuta akisasambua nguo moja baada ya nyengine kitendo ambacho kilimfanya awe kivutio kikubwa kwa watu waliokwepo katika eneo la tukio muda ule,

Yani wakaazi wa kahama mjini walifurika katika eneo la tukio mkabala na geti la soko la ndizi mjini humo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsNgL27e4um5CxAcILRzBBWawkDdvadJCc5L74F0OHcQ3OyzUgPPBGY_BOxl11PH2c6X65lgmqK17NHaYT54Y-ST_NXJF30DPapMuBu1tv0C4rGYyoq4k4pU64YQaha9id85kZ9g5kdKHH/s640/POMBE1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtaQn-OfMWuxDr7w6IsFPV5IRYxexWkWO6-cB8ZYMO7xanCU-_MYHVFY_HvS2c9lJ41Q4nuI-biuJu10fT0m4-g-osxCfXU4_qaZ9UKXXhFheDUTzdgmeSq-hMVKgg58tvZrdxsjWZ4pec/s640/POMBE2.jpg

Comments

Popular posts from this blog