DEMU MPYA MTANZANIA WA PREZOO AAMUA KUUANIKA UTUPU WAKE LIVE MTANDAONI ... JIONEE MWENYEWEEE


Uwii hao waliotagiwa hapo huyo dougiemasta12 na huyo matikibokoyao wakiamka nahisi intastagram itawaka moto,,,Ogopa hizi number kwa matusi....hahahahah
Baada ya mapenzi ya Prezzo na demu wa kitanzania kuisha,
Prezzo kwanza alianza kwa kuweka picha za Goldie kusema ana mmiss
alafu akaweka ya Halle Berry na kumsifia uzuri wake na matiti yake...
Ndo hapo sasa yule aliekuwa demu wake alipocharuka huko instagram
alihisi prezzo anamsema yeye matiti yake sio mazuri basi na yeye akaweka picha ya mwanaume yupo uchii wa unyama na kibamia
na caption hizo......lol...
Akidai kwamba bora yeye matiti yake anaweza kuyafanyia plastic surgery ila yeye jamaa hicho kibamia atakifanya nini???hahahaha
Kwenye hii blog hatuwezi weka picha za uchi wa unyama so ikanibidi ni blur hiyopicha...lol...
Alafu jamani mbona mnapendaga kunitag sana kwenye haya maumbea ya instagram, yani huwa mnanitag mara ishirini kidogo...hahahahha

Prezzo achana na mademu wa Kitanzania wamedata ona sasa kila mtu kajua maumbile yako....
We dili na kina Huddah Monroe huko Kenya wanajua kuvumilia, unawatenda na kuwatusi ila wako kimya ,wakibongo si umeona alivyokutenda....lol.....
Dada wa Kitanzania akaendelea kujitetea kuwa matiti yake mazuri although Prezzo ameimply otherwise....
Pia alidai yeye ndo kam dump jamaa.....lol...
Akamalizia kwa kuweka picha ya mpenzi wake mpya.....lol.....
PS: Muwage mnasikia acheni kutangaza relationships zenu on social media ona mapenzi yakiisha mnavyohaha kuonyesha nani kamwacha nani
nani ana kibamia nani ana matiti ndala ndefu mpaka kiunoni....lolest... mnaaibishana bure watu wana enjoy movie......
UPDATE:
BAADA YA KUAMBIWA ANA KIBAMIA PREZZO AJA NA HII....LOL..
UWIII KAAMUA KUJIITA KING MSWATI KABISA...
HAHAHAHHHAHAHAHA, HUYU JAMAA AMEDATA KABISAA.....
Wamwachieage tu Huddah huyu jamaa maana wenyewe wanawezana na uchizi wao....lol..

Comments

Popular posts from this blog