JOKATE MWEGELO AZINDUA MRADI MPYA WA KIDOTI

  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.…
  Jokate Mwegelo akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi wa saluni hiyo muda mfupi kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio.
Jokate akiwasabahi waandishi wa habari.
...akitoa ufafanuzi juu ya mtandao huo.
Akifanyiwa ukarabati wa uso (make up) ndani ya saluni hiyo, baada ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Kidoti katika picha ya pamoja.
 
Jokate katika pozi.
MWANAMITINDO maarufu nchini, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amezindua mtandao mpya wa King’aring’ari ambao unampa fursa mwanamke kupata dondoo mbalimbali za urembo pamoja na kubadilishana mawazo juu ya mijadala mbalimbali.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye uzinduzi huo uliofanyika ndani ya saluni ya Millionaires Mikocheni jijini Dar, Jokate alisema ili kupata dondoo hizo za urembo, mhusika anatakiwa aandike neno Kidoti kwenye simu yake, kisha atume kwenda namba 15678 ambapo atapokea ujumbe maalumu wenye maelekezo juu ya dondoo hizo.

Comments

Popular posts from this blog