Wema Sepetu ajuta kutumia mikorogo, aanza kuitamani ngozi yake ya awali


Wema Sepetu ambaye ni Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu anajuta kutumia mkorogo na hatimaye kupoteza urembo wake wa asili aliokuwa nao mwanzo kabla ya kuanza kujichubua. 
 
Chanzo kimoja makini ambacho kipo karibu na Wema na ambacho pia ni star wa filamu kimetutonya kuwa Wema anajuta kujichubua na hajiamini tena katika urembo tofauti na miaka ya nyuma kwani kila mtu sasa hivi anajua Wema ni fake na amejaa urembo wa kichina kwa aslimia kubwa.

Comments

Popular posts from this blog