RAIS KIKWETE APOKEA KOMBE LA DUNIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilifunua na kulinyanyua Kombe la Dunia katika uwanja wa michezo Kirumba mjini Mwanza leo jioni. Kombe hilo limerejea jijini Dar es Salaam na kesho wananchi watapata fursa ya kupiganalo picha.
NDUGU MDAU TUJITOKEZE TRH 30 PALE UWANJA WA TAIFA ILI TUPATE PICHA YA UKUMBUSHO

Comments

Popular posts from this blog