MWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU USHIRIKA AFIRIKI DUNIA GHAFLA

 Marehemu Happy Elias Kisamo 
Happy E.Kisamo alikuwa mwanachuo wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu kishiriki ushirika(MUCCoB's) akiwa anachukua stashahda ya masoko na fedha ,
Marehemu alifariki usiku wa kuamkia jana kutokana na maradhi ya tumbo yaliyokuwa yanamsumbua,
Mwili wa marehemu unategemewamehagwa siku ya jumatatu na uongozi mzima pamoja na Wanachuo Wenzake na kisha kusafirishwa kuelekea kwao uko Arusha tayari kwa ajili ya mazishi.
Uongozi wa Chuo Kikuu kishiriki Ushirika(MUCCoB's).unapenda kutoa pole kwa familia na Wanachuo wote kwa kufiwa na mwanachuo mwenzao,
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

Comments

Popular posts from this blog