JE! NI KWELI RAY C NA RECHO WANAFANANA SAUTI NA SURA???TUPE MAONI YAKO


Mara ya kwanza tu Recho alipoanza kusikika, sauti yake ilianza kufananishwa na ya Ray C. Kuanzia kwenye Kizunguzungu, Upepo na Nashukuru Umerudi, Recho alikuwa Ray C mtupu.

Hata hivyo hiyo haikumsumbua, Ray C ambaye alisema kuwa ni faraja kumsikia Recho akiimba kama yeye na tangu hapo wamekuwa marafiki.
Lakini wawili hawa, hawafanani sauti tu. Picha hii (hapo juu) iliwekwa na Ray C kwenye Instagram na wengi walidai kuwa, warembo hao,
USISAHAU KULIKE KURASA ZET ZA FACEBOOK/ TWITTER KWA HABARI ZAIDI

Comments

Popular posts from this blog