HIVI NDIVYO MSANII WA TAARAB FUNDIKIRA ALIVYOAGWA ... WENGI WAZIMIA MSIBANI

               
Mume wa marehemu, Kaisi Musa Kaisi akiwa na uso wa majonzi.
Marehemu Nyawana Fundikira enzi za uhai wake.
Baba…


Mume wa marehemu, Kaisi Musa Kaisi akiwa na uso wa majonzi.
Marehemu Nyawana Fundikira enzi za uhai wake.
Baba wa marehemu (kulia) akifuta machozi, kushoto ni mtangazaji wa ITV, Hawa akilia kwa uchungu.
Waombolezaji waliohudhuria kwenye msiba huo.
Ndugu wa marehemu akilia kwa uchungu baada ya mwili kuondolewa na kupelekwa msikitini kuswaliwa.
Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari baada ya kutolewa katika hospitali ya Mwananyamala ulikokuwa umehifadhiwa.
Waombolezaji wakililia kwa uchungu.
Mwili wa marehemu ukipelekwa msikitini.
LEO vilio vimetawala nyumbani kwa mzee Fundikira maeneo ya kwa Bibinyau, Magomeni, Dar wakati waombolezaji wakiaga mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mtangazaji wa kipindi cha taarab ‘Ambaa na Mwambao’ kinachorushwa na Passion Fm, Nyawana Fundikira.
Nyawana alifariki jana  baada ya kusumbuliwa kwa muda mfupi na malaria na upungufu wa damu ambapo mwili wake umeagwa leo na kusafirishwa kwenda kuzikwa kwao Tabora ambapo ameacha mjane na watoto wawili.
                                                ( Habari/Picha: Gladness Mallya/GPL )

Comments

Popular posts from this blog