TATOO ya LULU JUU YA MATTITI YAKE YAWA GUMZO



JUZI kabla hajalala mwigizaji Lulu aliwaonyesha mashabiki zake picha ya tatoo yake mpya ambayo imechorwa juu ya Matiti yake kuelekea begani ikiwa ni picha aliyoipost na ikaambatana na maneno yafuatayo:-
 "ONLY GOD CAN JUDGE ME…."


Kumekuwa na kawaida ya watu kuongea na kuhukumu wenzao bila ya kujua wanachokiongelea pengine!! kwa upeo wangu mdogo nafahamu sisi wote ni binadamu na tunamtegemea mtu mmoja MWENYEZI MUNGU…

"Lakini cha kushangaza ni kuwa watu wako busy kuhukumu wenzao kuliko hata huyo mwenye cheo chake, hivi Mungu angetaka kufanya kama wanadamu tunavyofanya tungeangaliana kweli?

"Nadhani umefika wakati wa kumuachia mwenye majukumu yake kufanya kazi…tuache kujipa u busy usio wa lazma….!!!


Comments

Popular posts from this blog