KIUNO changu kimeniongezea idadi ya wanaume wanaonitongoza....Wapo wanaotaka kuninunulia gari huku wengine wakiahidi nyumb



Staa wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kuwa mauno anayoyakata katika shoo zake yamemfanya apate maombi mengi toka wanaume hasa waume za watu..
Akiongea na mpekuzi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa kumtongoza huku wakiahidi kumnunulia magari na wengine nyumba.

“Sipendi kabisa kusikia masuala ya wanaume za watu, Wapo wanaoniahidi gari na wengine nyumba.Labda wangekuwa sio waume za watu ningeweza kufikiria . ,” alisema Snura.

Comments

Popular posts from this blog