KATI YA HAWA MASTAA WA KIKE WANAOTINGISHA BONGO NI NANI MKALI?



Wema Sepetu...I just love her voice,lips, skin tone and that caring heart

Lulu Michael she knows sifa zake zote ambazo nilikuwa nampa kila siku tukiwa wote... her smile huwa linaninyong'onyeza kabisa. Ana heshima, ni mwelewa na ni Jambazi wa hisia za watu.. akiamua kuiteaka tanzania kwa hisia tu anaweza


Jackie cliff.... am sure hapa sipo peke yangu bana kwa kutokwa na udenda... look at her sexy body.... kimwili kisichokomaa!! ana akili na ni mtafutaji katika maisha.. in her Young age she is married and managed to kip her life more personal
Tune to 88.4Fm utajua nini kimeniteka kwa huyu mtoto....mke wangu akikosa sauti ya Wema apewe Ya Diva Lovess love... anateka vijana wengi muda wa show yake ukifika... mahusiano yamevunjika sababu ya watu kusikiliza show yake badala ya kula chakula cha usiku na wapenzi zao
TUPE MAONI YAKO, NA USISAHAU KULIKE KURASA WETU WA FACEBOOK

Comments

Popular posts from this blog