KIZAAZAA MISS WORLD HATARINI KUSHAMBULIWA

miss world
IKIWA imebaki siku moja tu mashindano ya urembo ya Dunia kufanyika katika kisiwa cha Bali yalipohamishwa kutoka mji mkuu Jakatra nchini Indonesia, Hali imeonekana kuwa tete baada ya wanachi wa nchi hiyo ambao wengi wao ni
waislam kuyapinga mashindani hayo kwa maandamano huku makundi mbali mbali ya kiislam yakitishia kushambulia mashindano hayo siku ya shindano.
miss worrl

zaidi ya asilimia 90 ya watu milioni 240 ni waislam Nchini Indonesia
misss worl
Waandaaji wamesema ulinzi ni wa uhakika katika milango ya kuingilia kwenda katika kisiwa hicho cha bali mashindano hayo yatakapofanyika Jumamosi Dec 28 huku warembo 129 kutoka nchi mbali mbali duniani watashiriki mashindano hayo wakati Tanzania ikiwakilishwa na mrembo Brigitte Alfred.

Comments

Popular posts from this blog