Daktari bandia anavyojadiliwa mtandaoni...!!

00_d7430.png
Soma maoni ya watu juu ya huyu daktari bandia na wewe unaweza kutoa maoni yako
Rodrick Kabangila
08:08 (3 hours ago)
Huyo jamaa inasemekana alikuwa Muhimbili akipozi kama daktari kwa zaidi ya miaka minane na hivyo keshawaibia/kuwadhuru waTz miaka yote hiyo.
Intelijensia ya Tz huwa iko busy na wapinzani tu sio kwa wahalifu kama hawa. Hatari sana.
mngonge 
08:58 (2 hours ago)
Kweli haya ni makubwa kuliko, juzi juzi traffic bandia, afisa uhamihaji bandia na leo daktari bandia. Ipo haja ya kufanya ukaguzi wa ghafla mara kwa mara (spot check) kwa watumishi mbalimbali ili kubaini watu wa namna hii. Intelijensia mpo? Hatujui huyu amekwishadhuru maisha na kuwatapeli wangapi. Ama kweli hii ni bongo!!!

Comments

Popular posts from this blog