ANGALIA PICHA SHOPPING CENTRE ILIYOVAMIWA KENYA NA WATU ZAIDI YA 20 KUUAWA NA WENGINE KUCHUKULIWA MATEKA


Hili ni jengo lililovamiwa


An injured man is treated outside an upmarket shopping mall, seen background, in Nairobi, Kenya, 21 September 2013.
Emergency medical staff treated some of the wounded near the building's entrance
A soldier moves to take up a position outside an upscale shopping mall, seen background, in Nairobi, Kenya Saturday 21 September 2013.
Security forces have surrounded the shopping centre
Shoppers are helped to evacuate the area of an upmarket shopping mall, seen background, in Nairobi, Kenya Saturday 21 September 2013.
Dozens of shoppers were given assistance in evacuating the area
Two women hug outside an upscale shopping mall, seen background left , in Nairobi, Kenya Saturday 21 September 2013.
Children and families were taken to safety after the shootings began



Walioshuhudia tukio hilo, wanasema kuwa maguruneti piya yalitumika.

Polisi waliojihami kwa silaha wamezingira jengo la maduka liitwalo Westgate, katika mtaa wa Westlands, na kuna taarifa ya watu waliojeruhiwa wakitolewa hapo kwa machera.
Kulikuwa na watu wengi wamenasa ndani ya jingo  hilo lakini kwasasa wengi wameokolea na wengine bado wanaendelea kuokolewa .Magari yaliyoegeshwa nje ya maduka  pia yameharibiwa kwa siraha

Comments

Popular posts from this blog