MWANAMKE APOTEZA NYETI ZAKE(UKE)

Mama huyu akiwa hajielewi kwa kile kilichompata,baada ya kula uroda na mwanaume mmoja katika nyumba ya wageni ya super star hamugembe uko kigoma, mwanamke huyo alitoweka na pesa za mwanaume huyo ambae inasemekana nae ni mkazi wa kigoma,baada ya muda mama huyu akiwa ametokomea



alijikuta amezungukwa na umati mkubwa.
Police walifika maeneo ya tukio na kumchukua huyo mama,tunafanya jitihada za kumpata msemaji wa jeshi la police,na ikibidi taarifa rasmi ya daktari kudhibitisha kama kweli hana sehemu zake za siri



panda mama tukifika huko tutajua zipo au zimetoweka...

akiwa hajaamini kwa kile kilichomtokea kuwa kweli amepoteza sehemu za siri na ndio  akipelekwa polisi. 

Epuka wizi usiokuwa na sababu yoyote kama ni mpenzi wako.

TUPE MAONI YAKO

Comments

Popular posts from this blog