MSANII DIAMOND AFUNIKA MBAYA JANA AKIWA KWENYE SHOW MOMBASA

 
diamond nairobiDiamond baada ya kuwasili Kenya alipokelewa kwenye gari hili
Diamond Platinumz ambaye sikukuu ya Idd anafanya show ndani ya Mombasa, unaambiwa ticket zote za show hiyo zimiesha kabla hata muda wa show haujafika. Habari kutoka kwa Hudda Monroe ambaye pia yupo Mombasa kwa ajili ya show,amesema kwamba ticket za kuingia KICC grounds kuona show ya Diamond are sold out. Big up to Diamond na crew nzima iliyondaa show hii.
hudda

Comments

Popular posts from this blog