KWELI NAWEZA SEMA SAFARI SIO KIFO ILA.......................

 Tazama maisha ya Mtanzania yanavyozidi kuwa hatiani kila kukicha, hapa nia abira wakionekana kugombania usafiri na wengineo wakiwa wako juu ya keria ili mradi tu wafike waendako.


JE NAULI INALIPWA KWA WOTE?
Uko nchi ya jirani Kenya nako hali ya usafiri imekuwa ngumu kila kukicha, hawa nia abiria waliokutwa na kamera zetu wakiwa wamejazana kwenye matatuu nao hitaji lao ikiwa nikufika waendako bila kujali uasalama wa maisha yao

Comments

Popular posts from this blog