HIVI NDIVYO MPIGA PICHA WA NEW HABARI ALIVYO FANYWA WAKATI WA MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU WA THAILAND UWANJA WA NDEGE DAR



 Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu wa ...Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa JNIA. Cha ajabu ni kwanba wakati vyombo vya habari vijinyanyapaliwa na
kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani ya nche yake zawa wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Comments

Popular posts from this blog