DUNIA YACHARUKA SAKATA LA TINDIKALI ................................


UTHIBITISHO NI HAYA MAONI YA WASOMAJI WA MTANDAO WA SKYNEWS JUU YA TUKIO LA RAIA WAWILI WA UINGEREZA WALIOMWAGIWA TINDIKALI MJINI ZANZIBAR JUZI

 

 
 
 
 Hizi ni baadhi ya maoni ya wasomaji wa mtandao wa Skynews.com juu ya tukio la wasichana wawili wenye asili ya uingereza waliomwagiwa tindikali katika kisiwa cha Zanzibar juzi.Wengi wao ni Waingereza wameonyeshwa kukerwa na tukio la kinyama dhidi ya raia hao wa uingereza

Comments

Popular posts from this blog