MAISHA BORA KWA MTANZANIA JE YANAKIDHI.......

Hawa ni vijana kutoka MKOANI - MANYARA maeneo ya HARKA waliokutwa wakijadilini ni kwa jinsi gani wapataweza kupata unga angalau hata robo kilo ili wakapike kupunguza ukali wa njaa mara baada yakupata mboga mafungu mawili ya mboga za majani,na hatimaye msamaria mmoja kuhamua kuwanunulia mua ili wapunguze njaa zao.
Ukiwa kama Mtanzania Mwenzetu je ungewasaidiaje hawa vijana.
TUPE MAONI YAKO

Comments

Popular posts from this blog