HUYU NDO MSICHANA WA CHUO ALIYEKUTWA AMEKUFA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI


Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu, 
Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nigeria Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini  Lagos Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa 
 sakafuni.Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada  zilizotolewa, pia haijajulikana ni kitu gani kilimtoa

Comments

Popular posts from this blog