HAKUNA AJALI YA TRENI KAMA HII ILIYOWAHITOKEA SPAIN



Watu 20 wamepoteza maisha

Treni iendayo mwendo kasi imepata ajali huko northwestern Hispania ambapo inaaminika watu 20 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa kati ya abiria 200 waliokua wakisafiri nayo.

Moja ya mabehewa limeonekana likiwa linawaka moto na jingine kukatika katikati kwenye eneo la ajali hiyo karibu na Santiago De Compostela ambapo ilikua ikisafiri kuelekea Ferrol Northwest Spain.

Comments

Popular posts from this blog