Posts

SAHAU KUHUSU ILE TEAM YA WEMA NA WENZAKE>>>HII SASA NI TEAM BABJI YA JB NA WENZAKE

Image
 

MAFURIKO YA LOWASSA YALETA KIZAZA TANGA,ALAZIMIKA KUAHIRISHA MKUTANO WAKE

Image
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowassa amelazimika kuahirisha mkutano mjini Tanga baada ya maelfu ya wakazi waliojitokeza kushindwa kuenea ndani ya uwanja wa Tangamano jijini TangaKwa mara ya kwanza ndani ya jiji la Tanga shughuli zote zinazofanyika katika mitaa ya barabara ya 4, 5,6,7, 8 zililazimika kusimama kwa muda baada ya maelfu ya wakazi wa jiji hilo waliojitokeza katika uwanja wa Tanagmano, hali iliyopelekea kushindwa kuendelea kwa mkutano huo.Licha ya juhudi zilizofanywa na viongozi wa UKAWA wakiongozwa Fredrick Sumaye za kujaribu kutuliza hali ya mambo kushindikana jambo lililomlazimu Mh.Edward Lowassa kulazimika kusitisha mkutano huo.Je? Nini kauli ya Chadema baada ya mkutano huu kuvunjika, John Mrema ni meneja kampeni wa Chadema.Uamti huo wa wakazi wa jiji la Tanga ulionekana dhahili ulionekana dhahili kuwashinda maafisa wa taasisi ya mslaba mwekundu redcro

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA WANANCHI KUAGA MWILI WA MAREHEMU CELINA KOMBANI, DAR, KUZIKWA KESHO MOROGORO.

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro. Picha na OMR Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.     Spika wa Bunge la Jamhuri, Mama Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza leny

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 28.09.2015

Image

MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUCHANJA MBUGA,AMALIZA KAZI MKOA WA SINGIDA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KWA KISHINDO

Image
Chopa ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi ikipasua ANGA la Mkoa wa Singida hii leo wakati wa kampeni kwenye Majimbo mbalimbali. Mapema leo,Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Igunga Ndg.Dalalary Kamfumu.Mwigulu ametumia nafasi hiyo kuwaasa wananchi wa Igunga kuichagua CCM kwenye nafasi zote,Swala la Mabadiliko halinauhusiano na vyama vya siasa,Mabadiliko ni shughuli za  Maendeleo,Sehemu ukiona hakuna Umeme pakawekwa Umeme hayo ndio Mabadiliko.Kubadilisha vyama vya siasa tena kwa Upinzani huu wa Tanzania uliobeba Zigo la Walarushwa maarufu Nchini ni kupoteza Muda. Sehemu ya Mamia ya Wananchi wa Jimbo la Igunga wakifuatilia Mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi hii leo. Mwigulu Nchemba akiagana na Wananchi wa Jimbo la Igunga mapema hii leo. Mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi kwa Jimbo la Mkalama Ndg.Allan Kiula akibebwa na Wapiga kura wake kupelekwa eneo la mkutano hii leo. Mbali na kuwa