Posts

EVANS EVEVA RAIS WA KWANZA WA SIMBA SC, KABURU NAYE ATISHA..KURA ZA WAJUMBE ZAHESABIWA

Image
  UCHAGUZI mkuu wa klabu ya Simba sc umemalizika salama licha ya changamoto kadhaa kujitokeza na sasa zoezi linaloendelea ni kumalizia kuhesabu kura za wagombea wa nafasi za ujumbe. Kwa nafasi ya Urais, tayari mambo yameshafahamika ingawa taarifa rasmi kutoka kamati ya uchaguzi haijatangazwa. Evans Elieza Aveva ni rais wa kwanza wa klabu ya Simba kwani matokeo ambayo sio rasmi yanaonesha ameibuka na ushindi mkubwa. Aveva amepata kura 1461, huku mpinzani wake pekee, Andrew Peter Tupa akipata kura 381. Wagombea hawa walikuwa na uzito tofauti, kwasababu dalili za Eveva kushinda zilianza siku aliyoenda kuchukua fomu. Hata hivyo ilionekana kungekuwa na mchuano mkali endapo Michael Richard Wambura angeendelea na uchaguzi. Nafasi ya makamu wa rais, aliyewahi kuwa makamu mwenyekiti wa Simba katika uongozi unaomaliza muda wake, Geofrey Nyange `Kaburu` kwa matokeo yasiyo rasmi ameshinda nafasi hiyo. Matokeo rasmi yatatangazwa muda wowote kutoka sasa, endelea kufuatilia mt

DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP PARTY

Image
Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani .   Jana Diamond akiwa na wasanii wenzake wanaowania tuzo katika kipengele cha International Act (Africa) walihudhuria party ya utangulizi (BET Pre Awards VIP Party). Fally Ipupa aliungana na wasanii wanaowania kipengele kimoja na Diamond ambao ni Davido, Mafikizolo na Tiwa Savage na Sarkodie (hayupo kwenye picha hizi).  

MUONE KIJANA ALIYEJITOBOA MATUNDU 27 USONI MWAKE

Image
An extreme body artist has taken piercing to a HOLE new level after creating giant flesh tunnels in his cheeks. These pictures show how alternative model, Joel Miggler, 23, can poke his forked tongue through his CHEEKS following the dramatic piercing. The 23-year-old, from Küssaberg, Germany, began experimenting with body modifications at the tender age of 13. Since then he has acquired a grand total of 27 different piercings, as well as six tattoos, an implant and has even had his buttock branded. His obsession with body modifications first began after stretching his earlobes and has now spent over £4000 altering his body. As his piercings became more and more extreme, Joel eventually had two huge 36 millimetre holes created into the side of his cheeks but plans to eventually stretch them to 40 milimetres. But despite his extreme look, Joel insists that his tunnels do not affect his daily life and instead sim

PICHAZ: KOCHA ARSENE WENGER AKIFANYA YAKE NA KABINTI BEACH BRAZIL..HATARI SANA HII...!

Image
Arsenal Manager Arsene Wenger Spotted In A Brazilian Beach With This Young Bikini Beauty Inakuaje hapa tena mzee Wenger, huyu ni mchepuko au niaje?!

HIZI NI SABABU ZA WANAUME KUOTA MATITI

Image
Kitaalamu, tatizo hilo hujulikana kama ,gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titi inayojulikana kamaglandular tissue. Ni nadra kujitokeza, lakini kwa siku zakaribuni baadhi ya wanaume wana maziwa kama walivyo wanawakeTatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto wa kiume limekuwa kubwa katikadunia ya leo. Inawezekana wakati unatembea njianiukaona wanaume au watoto wadogo wa kiume wakiwa na matiti tena makubwaambapo watu wengi  huchukulia kama ni kawaida. Kitaalamu, tatizo hilo hujulikanakama, gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titiinayojulikana kama glandular tissue. Tatizo hili huonekana zaidi kwa watotowachanga na  wanaume walio katika umri wa kubalehe, lakini pia huonekana kwawatu wazima na wazee. Ukubwa wa tatizoAsilimia 60-90 ya watoto wachanga wanapata tatizo hili la kukua kwa matiti kwampito linalojulikana kitaalamu kama, transient gynecomastia kutokana nakuwepo kwa kichocheo cha aina ya estrogen

TAARIFA KAMILI KUHUSU MAJAMBAZI KUUA MFANYABIASHARA HUKO GEITA,KISHA NAYO KUUAWA

Image
KAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOA WA GEITA  KAMISHINA MSAIDIZI JOSEPH KONYO AKIONYESHA BUNDUKI AINA YA SMG  ILIYOKUWA INATUMIWA NA MAJAMBAZI JANA Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha ya bunduki aina ya SMG na bastola waliokuwa wakitumia pikipiki aina ya sanlg yenye namba T460 CVQ wamevamia duka la mpesa na kumuua mfanyabiashara Gosbert Kulwa(59) mkazi wa tambukaleli mjini Geita.  Kamanda wa polisi mkoani Geita Joseph Konyo amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa 11.30 jioni katika eneo la benki ya NMB ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya tumboni mfanyabiashara huyo wa mpesa na kufariki dunia wakati akipata matibabu katika hospitali ya wilaya ya Geita. Amesema mauaji hayo yalifanyika baada ya majambazi hao kupora kiasi cha pesa ambacho hakijajulikana kutoka kwa mfanyabiashara huyo. Kamanda ameongeza kuwa kabla hawajamuua Gosbert walianzia kwenye duka la mfanyabiashara wa vinywaji ndugu Ignas Athanas na walichukua pe

WATANZANIA 65 KUNYONGWA CHINA KWASABABU YA MADAWA YA KULEVYA

Image
Vijana 65 wa Tanzania wamehukumiwa adhabu ya kifo nchini China baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.  Vijana hao ni kati ya zaidi ya 403 wa Tanzania wanaoshikiliwa katika nchi mbalimbali duniani kwa tuhuma ya kujihusisha na biashara hizo.  Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, mjini Dodoma wakati akizungumzia Maadhimisho ya Siku Dawa za Kulevya Duniani yanayofanyika Juni 26 kila mwaka.  Lukuvi alisema kuwa kwa mwaka huu maadhimisho hayo ya kesho, kitaifa yatafanyika katika viwanja vya shule ya msingi Nzovwe jijini Mbeya na Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi.   Tangu mwaka 2008 kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wenye asili ya Kitanzania kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya ndani na nje ya nchi, mpaka hivi sasa idadi yao ni kubwa kiasi cha kufikia zaidi ya 400, na wanashikiliwa katika nchi mbalimbali ambazo pia a

MGOMBEA URAIS WA KLABU YA SIMBA BW. EVANS AVEVA AZINDUA KAMPENI ZAKE LEO

Image
Mgombea urais wa Kalabu ya Simba ya jijini Dar es salaam Bw. Evans Aveva akizunngmza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Raha Tower jijini Dar es salaam leo wakati akitangaza rasmi uzinduzi wa kampeni zake, uchaguzi wa klabu hiyo unatarajiwa kufanyika Juni 29 kwenye ukumbi wa Police wa Oysterbay jijini Dar es salaam, Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa klabu hiyo Mzee Hassan Dalali ambaye ni Meneja wake wa kampeni. Mgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” akiwa katika mkutano huo uliofanyika katika jengo la Raha Tower jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mtangazaji wa Radio One Bw. Maulid Kitenge na Mulamu Ghambi mmoja wa wanachama wa kundi la Friendes Of Simba na mwanachama wa Klabu hiyo wakiwa katika mkutano huo. Mgombea wa Umakamu wa rais wa klabu hiyo Bw. Godfrey Nyange :Kaburu” naye akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano huo.

MARCIO MAXIMO ASAINI MKATABA NA YANGA.

Image
KOCHA Mkuu wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbrazil,  Marcio Maximo anatarajia kuwasili nchini leo mchana akitokea kwao kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Yanga iliyoanza mazoezi jana. kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Manyara Sports Management, Ally Mleh Maximo anawasili sambamba na msaidizi wake Leonardo Neiva. Ni kweli kocha Marcio Maximo amekubali kuingia mkataba na timu ya Yanga ambapo anatarajiwa kuanza kazi rasmi tarehe 27/06/2014 ambapo atafuatana na msaidizi wake Leonardo Neiva. Mazungumzo ya makubaliano hayo yalichukua muda mrefu kidogo hatimaye tumefikia makubaliano.Tunashukuru mungu kila kitu kimekamilika,” alisema Mleh. Mleh alisema Manyara sports Management ni kampuni inayojishughulisha na uwakala wa wachezaji na makocha, kutafuta wadhamini katika michezo, na usambazaji wa vifaa vya michezo. Alisema kwa niaba ya Marcio Maximo anapenda kuushukuru uongozi wa klabu ya Yanga, kwa kweli wameonyesha  umakini na professional kw

CHADEMA KWAWAKA, WAJUMBE WAKE WA BARAZA KUU NA WANACHAMA WATINGA KWA MSAJILI WA VYAMA NA KWA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KUOMBA MBOWE NA SLAA WADHIBITIWE KWA UFISADI.

Image
 Mjumbe wa Baraza Kuu Chadema ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Temeke Joseph Yona (kushoto) akiongoza wenzake kuingia Ofisi ya Msajili wa Vyama leo kuwashitaki viongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho kwa kudaiwa kutotekeleza Demokrasia na kufuata Katiba ndani ya Chama.  Wanachama na Viongozi wa Chadema wakiwemo wa Baraza Kuu la chama hicho, wakipiga kwata kuelekea Ofisi za Msajili wa Vyama vya Siasa, jijini Dar es Salaam, leo, kupeleka barua ya kumuomba Msajili huyo wa vyama, kuwataka viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema kuzingatia Katiba ikiwemo kuitisha kikao cha Baraza Kuu na kuzingatia matumizi bora ya fedha za Chama.  Yona akisaini kitabu cha wageni kwenye kwenye mapokezi ya Ofisi ya Msajili wa Vyama Jijini Dar es Salaam, alipowasili ya ujumbe wake. Kulia kwa Yona ni Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Kaliua mkoani Tabora ambaye ni Mjumbe wa  Baraza Kuu na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Chadema, Jorum Mbogo  Naibu Msajili wa vyama vya Siasa