Posts

MTANGAZAJI WA CLOUDS FM ADAM MCHOMVU ANALIMA BANGI LIVE

Image

KATIBA: MWELEKEO MPYA KUJULIKANA LEO

Image
Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakitia saini Rasimu ya Pili ya Katiba juzi. Rasimu hiyo itakabidhiwa leo kwa Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein, Karimjee, Dar es Salaam. Picha ya mtandao.  Dar es Salaam. Swali la nini kilichomo katika Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya litajibiwa leo wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba itakapokabidhi rasimu hiyo kwa Rais Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein. Rasimu inayosubiriwa kwa hamu na wananchi wa kada zote itatolewa ikiwa imepita miezi saba tangu tume hiyo ilipotoa Rasimu ya Kwanza ya Katiba ambayo ilijadiliwa na kuboreshwa katika Mabaraza ya Katiba yaliyoketi kuanzia Julai 12 mpaka Septemba 2, mwaka huu. Tume hiyo iliyoanza kazi Mei 3, 2012 kwa kukusanya maoni ya wananchi, iliandaa rasimu ya kwanza iliyotangazwa Juni 4, mwaka huu. Hafla ya kukabidhi rasimu hiyo itafanyika leo saa 6.00 mchana katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

LAANA!!! MAUNDA ZOLLO APIGWA PICHA ZA UTUPU AKIWA GEST...AIBU ANGALIA PICHA HAPA

Image
Ni mara nyingine tena star mwingine tokea bongo picha zake chafu zimevuja katika mtandao mara hii ni kutoka kwenye Industry ya musc bongo

KANGA MOKO HII IMEZIDI JAMANI, NI SHIDAA TUPU .... JIONEE MWENYEWEEEE MA LAANA HAYA YA DUNIA

Image
ZiAngalia picha nyingine hapo chini

WASANII WETU SASA WAMEZIDI ... KUACHIA MOVIE HII ILIYOJAA LAANA TUPU

Image
Hakika tasnia ya filamu kwa hapa bongo na hata baadhi ya nchi za Afrika zimekuwa zikipotosha na kuharibu jamii zetu hasa vijana. Kwenye moja kati ya filamu ambazo inategemea kutoka hivi karibuni picha hizo ni baadhi ya shots zilizochukuliwa...

HII NDIO SAFARI YA MWISHO YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SELINA MAKINGA ALIYEKUWA MFANYAKAZI WA CBE DODOMA

Image
 Wafanya kazi wa chuo cha CBE wakiwa kwenye msiba  wa marehemu Selina Makinga  area 'A' wakisubiria kutoa heshima zao za mwisho kabla ya kusafirisha mwili huo kwao Iringa  Ndugu, Jamaa na Mrafiki wa marehemu  Rais wa COBESO Mhe, Remidus akiwa kwenye msiba wa marehe  Selina Makinga , akiwa anahesabu hela ya kutoa rambirambi kiasi kilichofikia Tsh. 78,000/=  Familia ya marehemu wakiwa upande mmoja baada ya Padree kuongoza Misa Takatifu ya marehe Selina Makinga  Baadhi ya Wakristo wakishiriki kupokea ekaristi Takatifu  Marehemu akinyunyiziwa maji ya baraka kwa ishara ya imani yake aliyebatizwa kwa maji ya  baraka  Muda wakuaga mwili wa marehemu  Mama akiangusha kilio baada ya kuaga mwili wa marehemu  Mwalimu Ndunguru wa CBE Dodoma akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu   Rais wa COBESO Mhe, Remidius M. Emmanuel akitoa heshima yake ya mwisho kwa marehemu  Naibu waziri wa Fedha Mhe, Simba akitoa heshima yake ya mwi