Posts

Breaking News: Raila Odinga Ajiondoa Kwenye Uchaguzi Mkuu Kenya

Image
Raila Odinga Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu. Bwana Odinga anasema anataka kufanyika uchaguzi mpya jinsi ilivyoamuliwa na mahakama ya juu Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu. Bw. Odinga anasema amejiondoa ili kuipa tume ya uchaguzi IEBC muda wa kutosha kufanya mabadiliko ambayo yatawezesha kufanyika uchaguzi kwa njia ili nzuri.

Nafasi Za Kazi Chuo Kikuu Cha Arusha

Image
The University of Arusha, a Chartered Seventh-day Adventist institution of higher learning situated about 30 km from Arusha city, off the Arusha-Moshi highway, is seeking to recruit a suitably qualified individual to fill, with immediate effect, a vacant position in the Directorate of Finance. JOB TITLE: DIRECTOR OF FINANCE AND ACCOUNTING (DFA) The Director of Finance and Accounting (DFA) of the University shall be appointed by the University Council in consultation with the Vice Chancellor and the Chair of Finance and Development Committee of the Council. (a) Qualifications Holder of full Accountancy qualification and must be registered with NBAA as Certified Public Accountant i.e. CPA (T), ACCA, ACA or equivalent plus at least 5 years work experience in a similar position. (b) Remuneration This will depend on whether the person recruited is employed on church terms or on fixed-term contract terms. Nevertheless, an attractive package awaits the right candidate f...

Nafasi za Kazi Meru University

Image
Meru University of Science and Technology (MUST) wishes to recruit qualified and dedicated staff to fill the following vacant positions. ACADEMIC POSITIONS PROFESSORS – GRADE 15 – MUST/ACA/01/17 (1 POST IN EACH CATEGORY) Applicants are invited for post of Professor in the following areas:- Food Science Human Nutrition and Dietetics Plant Breeder Agricultural Economics Business Management Economics Procurement & Logistics Computer Science Computer Security and Forensics Artificial Intelligence Information/Library Science Mechanical Engineering Civil Engineering Electrical/Electronics Engineering Biosystems Engineering Architecture Health Systems Management Public Health/Environmental Health Community Health Clinical Medicine Health Records and Information Management Nursing Applied Statistics Theoretical Physics Actuarial Science Nuclear Physics Material Science Electronics Geophysics Organic Chemistry Industrial Chemistry Physical Chemistry ...

Nafasi Ya Kazi: Mkuu wa Chuo cha KIITEC Arusha

Image
The Principal serves as the Chief Executive Officer of the Institute and provides a clear focus on all matters related to the effective leadership and management of teaching, learning and quality to achieve academic excellence for the Institute. As KIITEC is growing in Tanzania as a center of excellence in East Africa and is scheduled to be duplicated in other sites, the Principal position will become a key role for our strategy implementation. Location Other Arusha District Arusha Description REPORTS TO: The Board of Directors SUPERVISES: Teachers, General staff and Students of the Institute SPECIFIC DUTIES: The KIITEC Principal shall: · Manage, and supervise effectively the operation of the Institute in harmony with the vision, mission, values and goals of the Institute · Supervise the overall financial status of the Institute · Build strong collaborative links with other academic institutions, stakeholders and donors within and outside Tanzania · I...

Wivu wa Mapenzi Wasababisha Mauaji ya Kinyama ya Watu wawili

Image
Watu wawili wamefariki dunia na mwingine mmoja kujijeruhi baada ya kutokea ugomvi unaohusishwa na wivu wa mapenzi mjni Bunda. Tukio hilo lilitokea jana saa tano asubuhi katika Mtaa wa Bunda Stoo baada ya mtu mmoja kuwavamia watu wawili kisha kuwachoma visu kabla ya kujichoma mwenyewe. Akizungumza mjini hapa, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara, Jaffari Mohamed alisema jana kuwa waliouawa ni Daudi Phares (29) mkazi wa Bunda na msichana aliyetambulika kwa jina moja la Monica (22) mkazi wa Magu mkoani Mwanza. Kamanda huyo alimtaja aliyejijeruhi baada ya kujichoma kisu maeneo mbalimbali mwilini mwake kuwa ni Selemani Jeremia (33) ambaye ni mkazi wa Magu. Alisema kuwa siku ya tukio Selemani alisafiri kutoka Magu mkoani Mwanza hadi Bunda ambapo alifika nyumbani kwa Daudi na kumkuta akiwa na Monica. Baada ya kufika nyumbani hapo Selemani alianza kumchoma visu Dauidi katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwamo kifuani upande wa kushoto na kusababisha ki...

MKUU WA WILAYA YA MBULU AAGIZA KITUO CHA POLISI KUJENGWA HARAKA.

Image
Mkuu Wa wilaya ya mbulu  chelestino s mofuga leo 09/10/2017 amekutana na wajumbe wa WDC  wa kata ya Eshkesh , kujadili maendeleo ya kituo cha polisi cha yaeda chini ambacho kinatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Desemba 2017.  Mkuu huyo amemuagiza mkuu wa kituo cha polisi kuwachukua maelezo na  kuahidi kusimamia kikamilifu  michango ya wananchi ili kujenga kituo hicho.  Mkuu wa wilaya aliunda tume kuchunguza matukio ya ujangili wa nyara za serikali, wizi wa mifugo na mauaji ya binadamu mnamo mwezi wa nne 2017, na moja ya mapendekezo ya uthibiti wa matukio ya uhalifu ni kujenga kituo cha polisi. Wajumbe hao wamebainika kusuasua kusimamia michango licha ya wananchi kuunga mkono ujenzi huo. Mkuu wa wilaya ametoa siku 30 kukamilisha michango ya ujenI wa kituo cha polisi.

Waziri wa afya afariki baada ya kukimbia

Image
Slim Chaker aliteuliwa waziri wa afya mwezi uliopita Waziri wa afya nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na ugonjwa wa saratani. Slim Chaker, 56, aliugua baada ya kukimbia mita 500, kufariki kwenye hospitali ya kijeshi, kwa mujibu wa wizara ya afya. Waziri mkuu Youssef Chahed alisema kuwa amempoteza ndugu ambaye alikuwa akitoa huduma ya kibinadamu. Wanawake waislamu nchini Tunisia waruhusiwa kuolewa na wanaume wasio waislamu Mbio hizo ziliandaliwa kwenye mji wa pwani wa Nabeul siku ya Jumapili kuchangisha fedha za kujenga zahanati ya watoto ya kutibu ugonjwa wa saratani. Bwana Chaker aliteuliwa kuwa waziri wa afya mwezi uliopita wakati wa mabadiliko makubwa ya baraza la mawaziri.

Hallelujah ya Diamond yaweka rekodi Kimataifa Yatikisa Uingereza

Image
                Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake kila kukicha. Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Hallelujah’ ambao amewashirikisha Morgan Heritage kuweka rekodi kubwa ya kufikisha views milioni moja ndani ya masaa 15, wimbo huo umeonekana kufanya vizuri katika kituo cha BBC Radio 1Xtra ya nchini Uingereza. Hallelujah’ umeshika namba moja katika Top 5 ya kipindi cha Afro Boss cha radio hiyo kwa kuzishinda ngoma nyingine kama ‘Inde’ ya Heavy K, ‘Maradona’ ya Niniola, ‘My Baby’ ya Magnom na ‘Nhema’ ya EXQ . Wimbo huo unaendelea kufanya vizuri nchini humo ikiwemo na kwenye kituo kingine cha Capital Xtra.

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA ,GARI YA ABIRIA AINA YA HIECE LATUMBUKIA ZIWANI

Image
              Gari ndogo la abiria (hiace) likiwa na abiria limetumbukia ziwani wakati likijaribu kuingia kwenye kivuko cha Kigongo Ferry jijini Mwanza, watu watatu tu mpaka sasa wameokolewa Chanzo: Radio Free Afrika

SHAMSA FORD AZIDI KUMSHUKIA ILALA MJINGA,AMPA MAKAVU LIVE

Image
          UKITAKA kujua kichaa cha ‘Queen’ wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, basi jaribu kuichokonoa ndoa yake, na hicho ndicho anachokifanya mtu mmoja aliyemfahamu kwa jina la Ilala Mjinga, ambaye kazi yake ni moja tu, kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuhusiana na ndoa yake na mumewe, Chid Mapenzi. Kwa mujibu wa Shamsa ambaye siku chache nyuma alisema kuwa anamuona jini-mkatakamba anainyapianyapia ndoa yake, hatimaye mambo yakamfika shingoni na kuamua kushusha waraka kwenye ukurasa wake wa Instagram, akiwataka wale wote ambao wanadhani atakuja kuachana na mumewe, basi wajue kwamba hiyo ni ndoto sawa na kusubiri embe dodo kwenye mti wa korosho! NA ISRI MOHAMED/GPL Post Views: 22

Waziri Mkuchika awachimba biti watumishi

Image
Waziri, George Mkuchika amefunguka na kuweka wazi mipango yake katika kutumikia nafasi yake na kusema yeye ataanza kuhakikisha watumishi wa Umma wanatumia muda wao kufanya kazi na hataki kusikia watumishi wameondoka makazini kwenda kunywa chai. Waziri Mkuchika ambaye leo Oktoba 10, 2017 ameapishwa na Rais Magufuli kuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora amesema kuwa katika kipindi chake atahakikisha wafanyakazi wanalipwa mshahara kulingana na kazi zao kweli, na wanatumia muda wa kazi kufanya kazi za serikali. "Kwanza katika kipindi changu nikiwa Waziri kwa watumishi wa Umma, nataka wananchi wanapofika maofisini wawakute maofisini, mara nyingi wengi wanaripoto ofisini baada ya muda wanaondoka wanasema wanaenda kunywa chai, yaani wananchi wanatoka vijijini wanamsuburi mtumishi aje eti ameenda kunywa chai jambo hili kuanzia leo nitasimamia kuhakikisha watumishi wa umma wanashinda kazini kwao ili kila mtumishi wa Umma alipwe ms...

Mawaziri Wapya wa JPM Waanika Mikakati Yao, Sasa ni Mchakamchaka

Image
Mawaziri na Manaibu Waziri wakiapa, Ikulu Dar. MAWAZIRI na manaibu walioapishwa na Rais John Magufuli, wametoa ahadi ya jinsi watakavyotekeleza majukumu yao. Mawaziri na manaibu walioapishwa leo Jumatatu wametoa ahadi muda mfupi baada ya kula kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Waziri Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora, George Mkuchika amesema atahakikisha watumishi wanakuwepo ofisini kuwahudumia wananchi. Amesema baadhi ya watumishi wamekuwa wakitumia muda mwingi kwenda kunywa chai, hivyo atahakikisha wanabaki ofisini kutoa huduma. Kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mkuchika amesema, “Nitatoa elimu na nitatumia muda wangu mwingi na ndugu zangu wa Takukuru (Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa). Nitaongea na Waziri wa Elimu somo la rushwa lifundishwe kuanzia darasa la kwanza hadi chuo kikuu.” “Ni wizara yenye changamoto nyingi, ng’ombe wanapigwa mnada, hawana maeneo ya malisho, viwanda vya mifugo na mchango wa maziwa ni tatizo, niko katika tafakari, nin...

Diamond Platinumz awagaragaza Davido na Wizkid Afrimma 2017

Image
                Msanii wa muziki Bongo, Diamond ameibuka mshindi baada ya kunyakuwa tuzo ya Afrimma katika kipengele cha Best Artist of The Year. Tuzo hizo ambazo zimetolewa usiku wa kuamkia leo Taxes nchini Marekani, Diamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiwania tuzo hiyo katika kipengele kimoja kama inayonekana hapa chini;  Artist of The Year Flavour (Nigeria) Diamond Platnumz ( Tanzania) Fally Ipupa- Congo Wizkid (Nigeria) Cassper Nyovest (South Africa) Davido – (Nigeria) Eddy Kenzo – Uganda Tekno – Nigeria Mr Eazi – Nigeria C4 Pedro – Angola

Kichwa cha mwandishi aliyetoweka chapatikana baharini Sweden

Image
                 Kichwa cha mwandishi wa Sweden Kim Wall kimepatikana , miezi miwili baada ya kupotea katika ziara na raia mmoja wa Denmark. Waogeleaji walipata mifuko iliokuwa na kichwa chake, miguu na nguo katika eneo la Koge Bay kusini mwa mji wa Copennhagen kulingana na inspekta mkuu wa polisi wa eneo hilo Jens Moller Jensen. Vilipatikana karibu na pale mwili wa Wall ulipokuwa siku chache tu baada ya kupanda katika manuwari tarehe 10 Agosti. Bwana Marsden mwenye umri wa miaka 46 amekana kumuua bi Moller Jensen akisema mabegi hayo yaliopatikana yalikuwa yamechanganywa na kupimwa uzani na vipande vya vyuma. ”Jana alfajiri tulipata begi ambalo lilikuwa na nguo za Kim, suruali ya ndani na viatu.katika begi hilo hilo kulikuwa na kisu na kulikuwa na mabomba ya magari” . Matokeo ya uchunguzi yamebaini kwamba kichwa hicho ni cha bi Wall na kwamba hakina ishara za kwamba fuvu lake la kichwa liliumizwa ama hata kupigwa. ...

Sirro Asema Hataki Malumbano Kuhusu Kushambuliwa Lissu

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema hataki malumbano na hana majibu kuhusu shinikizo linalotolewa na Chadema na familia ya mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kuruhusu vyombo vya nje kufanya uchunguzi wa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi kwa mbunge huyo. IGP Sirro amesema hayo leo Jumapili jijini hapa, akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alipojibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua kauli yake baada ya familia ya Lissu na viongozi wa Chadema kutamka kuwa hawana imani na Jeshi la Polisi kuhusu uchunguzi huo. Lissu ambaye pia ni mwanasheria wa Chadema na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) alijeruhiwa kwa risasi Septemba 7 mjini Dodoma na sasa anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya. IGP Sirro amesema yeye na jeshi lake wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria kwa kuwatumikia Watanzania wote kuhakikisha wanakuwa sala...

ZARI THE BOSS LADY AKATA MZIZI WA FITNA,AIBUKA NA KUJIBU YOTE LIVE

Image
                 Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady amefunguka na kudai kuwa yeye na mpenzi wake huyo hawajaachana. Akiongea katika U-Heard ya Clouds FM, Zari amedai kuwa hawajaachana kama inavyodaiwa na watu hii ni kutokana na kuwa hakumu-wish happy birtday katika mitandao ya kijamii kama ilivyozoeleka. Hakuna lolote baya linaloendelea kati yake na Diamond, na wanaheshima mikataba aliyonayo na kampuni pia hakuna chochote kibaya kinachoendele,” ameema mrembo huyo. Pia akaongeza kuwa “Nilimu-wish siku yake ya kuzaliwa sema nilitumia njia ya kawaida,na tunajaribu kuhamisha maisha yetu katika mitandao kuwa ya kawaida. Vile vile mrembo huyo alisisitiza kuwa stori zinazoenezwa kuwa Nillan sio mtoto wa Diamond sio za kweli na kuhusu DNA pia sio kweli.

BREAKING NEWS : AJALI MBAYA YA GARI NA TRENI TANGA LEO

Image
Gari iliyokuwa kuwa imepakiza watoto imezima kwenye kivuko cha Kwaminchi na kugongwa na treni. Watoto wawili waliokuwa wamekaa mbele walinusurika kifo baada ya dereva kuwaambia waruke, ila waliumia na kukimbizwa Hospitali.

IGP SIRRO AWAJENGEA UWEZO ASKARI WA MBEYA

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya, aliokutananao Ofisi ya Mkuu wa mkoa huo leo, IGP Sirro, yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Katibu Tawala mkoa wa Mbeya, Mariam Mtunguja na kamanda wa Polisi mkoani humo (DCP) Mohamed Mpinga, wakiwa katika picha na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa baada ya kikao kazi cha kubadilishana uzoefu katika kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akikagua gwaride maalumu aliloandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi yenye lengo la kuzungumza na maofisa na askari wa Jeshi hilo na kuona changamoto zao na namna ya kuwasaidia. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na askari wa kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu wa kutumia silaha za moto cha mk...

CHADEMA JIMBO LA IRINGA MJINI GIZA NENE, MADIWANI WALIOJIUZULU WATIMKIA CCM.

Image
Na Fredy Mgunda,Iringa. Chama cha mapinduzi (CCM) manispaa ya Iringa kimeendelea kujiimalisha kwa kuvuna wanachama watano kutoka chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) manispaa ya Iringa wakiwa na mikakati ya kuja kulikomboa jimbo la Iringa mjini ambalo lipo chini ya chama cha CHADEMA. Akizungumza wakati wa kuwapokea wanachama hao kutoka kata ya kitwiru mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya aliwapongeza wanachama kwa kutambua kazi inayofanywa na chama cha mapinduzi chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano DR John Pombe Magufuli. “Mimi nimefurahi sana nyie kurudi nyumbani maana mtakuwa na msaada mkubwa sana katika kukijenga chama hapa manispaa ya Iringa ili tuweze kulikomboa jimbo hili katika uchaguzi ujao nah ii ndio mikakati yetu”alisema Rubeya Rubeya  aliwaambia wanachama hao kuwa sasa wapo katika mikono salama ya kisiasa tofauti na walipokuwa kwenye chama cha awali na kuwasihi wasiwe waoga katika kufanya kazi za ku...

Mbowe ampongeza Rais Magufuli

Image
Babati.  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepongeza kitendo cha Rais John Magufuli kuitenganisha Wizara ya Nishati na Madini kwa kuwa kwa zaidi ya miaka saba kambi hiyo ilikuwa inaishauri Serikali kufanya hivyo. Mbowe amesema hayo leo Jumamosi kwenye mazishi ya marehemu Philip Gekul, baba mzazi wa Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul yaliyofanyika kata ya Dareda. Amesema kwa mujibu wa kumbukumbu za Bunge zinaonyesha kuwa kambi rasmi ya upinzani ilikuwa inashauri wizara hiyo itenganishwe lakini ushauri wao haukufanyiwa kazi. "Wizara ya Nishati na Madini ni wizara nyeti mno na mara nyingi tumekuwa tukiishauri Serikali iitenganishe wizara hiyo kwani ni kubwa na nyeti ila sasa wameona ushauri wetu unafaa na kuzitenganisha," amesema Mbowe. Amesema suala siyo nani anafaa kuwa waziri na nani hafai kuwa waziri au ukubwa wa wizara ila suala ni kuona namna gani ya kuendesha Serikali ya Awamu ya Tano. er 07, 2017 No comments Babati.  Mwenyekiti wa Chadema,...